Mwanzo › Tafiti za Matibabu
Tafiti za matibabuTafuta utafiti wa matibabu
Tafuta tafiti za moyo zinazotafuta washiriki. Kisha zungumza na daktari wako kabla ya kuamua.
- TafutaChagua tatizo la moyo na nchi.
- HakikiSoma nani anaweza kushiriki, utafiti unafanyika wapi na unahusisha nini.
- Zungumza na daktari wakoMpe daktari wako maelezo ya utafiti na mamue pamoja.
Haipatikani kwa muda
Mfumo wa kutafuta haupatikani kwa sasa
Mfumo wa Global Heart Hub wa kutafuta tafiti za matibabu haujibu kwa sasa. Tafadhali jaribu tena baadaye, au tumia mojawapo ya rejista za umma zilizoorodheshwa hapa.
Tafuta kwenye rejista ya umma
- Pan African Clinical Trials RegistryRejista inayotambuliwa na Shirika la Afya Duniani kwa tafiti za matibabu zinazofanyika Afrika, ikiwemo Tanzania.pactr.samrc.ac.za
- WHO International Clinical Trials Registry PlatformHutafuta kwenye rejista za tafiti kutoka duniani kote kwa mara moja.trialsearch.who.int
- ClinicalTrials.govRejista kubwa zaidi ya tafiti za matibabu, inayoendeshwa na Maktaba ya Taifa ya Tiba ya Marekani.clinicaltrials.gov
Kidokezo: andika jina la ugonjwa kwa Kiingereza, kwa mfano congenital heart disease, kisha chagua Tanzania kama nchi au eneo.
Sisi hatuendeshi tafiti hizi
Kila utafiti unaendeshwa na timu yake ya watafiti. Hatuwezi kumwandikisha mtu yeyote, lakini tunafurahi kujibu maswali yako. Wasiliana nasi.
Kushiriki ni uamuzi wako
Unaweza kukataa, au kujitoa wakati wowote, bila kupoteza huduma yako ya kawaida.
